MANE YUPO TAYARI KWA LOLOTE KUHUSU UBINGWA
Nyota wa klabu ya Liverpool Sadio Mane ameweka wazi msimamo wake kuhusu ubingwa wa ligi kuu nchini England ambao wanaufukuzia …
Nyota wa klabu ya Liverpool Sadio Mane ameweka wazi msimamo wake kuhusu ubingwa wa ligi kuu nchini England ambao wanaufukuzia …
Ligi Kuu ya nchini Ujerumani (Bundesliga) inawezekana ikawa Ligi ya kwanza Ulaya kurejea na kuanza kuchezwa mwezi Mei baada ya …
Pengine tunaweza kushuhudia ligi kuu nchini England ikarejea kuchezwa pamoja na mashabiki kama mambo yataenda sawa kutokana na ligi hiyo …
Raisi wa mchezo wa UFC Dana Whie maesema mchezo huo utaendelea kama kawaida na kwa sasa wapo mbioni kupata kisiwa …
Zikiwa ndio mbio zilizotarajiwa kuanza kwa msimu huu baada ya kushindikana kuanza kwa mbio zozote tokea mwanzoni mwa mwaka kutokana …
Nyota wa zamani wa Barcelona na Brazil Ronaldinho Gaucho pamoja na kaka yake wameachiwa kutoka jela huko Paraguay baada ya …
Chama cha soka cha Misri (EFA) kimemsimamisha mwamuzi Saeed Hamza kwa miezi mitatu baada ya kuonekana kukikosoa chama hicho kwenye …
Timu za Racing Point na Williams zimechukua hatua ya kupunguza sehemu za wafanyakazi wao na kuwapa likizo za lazima ikiwa …
Chama cha soka cha Misri (EFA) kimemsimamisha mwamuzi Saeed Hamza kwa miezi mitatu baada ya kuonekana kukikosoa chama hicho kwenye …
Nahodha wa Yanga raia wa Congo DR Papy Kabamba Tshishimbi ameeleza ukweli kuhusiana na kinachoenea mitandaoni kuwa anamaliza mkataba wake …