Arsenal wanasa kifaa cha Barca
Kiungo wa Barcelona Denis Suarez amejiunga rasmi na Arsenal kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu huu. Katika majira ya kiangazi …
Kiungo wa Barcelona Denis Suarez amejiunga rasmi na Arsenal kwa mkopo mpaka mwisho wa msimu huu. Katika majira ya kiangazi …
Kiungo wa timu ya taifa ya Kenya Ayub Timbe huenda akakosa kipute cha mataifa barani itakayo andaliwa Misri mwezi Juni …
Mshambulizi wa timu ya Kakamega Homeboyz, Allan Wanga anasema hapanii kuingia katika kazi ya ukufunzi licha ya kuiongoza timu yako …
Klabu ya Nantes jana wakiwa katika uwanja wao wa nyumbani walicheza dhidi ya St.Etienne, ikiwa ni mechi yao ya kwanza …
Moja kati ya usemi maarufu kwa mashabiki wawanasoka mahiri barani Ulaya ni pale wanaposikia kuwawachezaji wawapendao wanaondoka Ulaya na kwendakucheza soka Marekani au China, wengi husema kuwawanaenda kuchukua fedha za pensheni kwani huwawanaondoka wakiwa wana umri mkubwa. Leo imeripotiwa taarifa mpya kuwa kiungo waManchester United raia wa Ubelgiji Marouane Fellainiyupo mbioni kujiunga klabu inayocheza Chinese League, Fellaini ambaye anaonekana kukosa nafasi chiniya kocha wa mpito wa Manchester United Ole Gunnar Solskjaer aliyemchezesha kwa jumla ya dakika 30 katikamichezo miwili ya Crystal Palce na Reading katika yamichezo nane aliyoiongoza Manchester United nakushinda yote. Jumanne mchana ndio Fellaini karipotiwa kukutana na mtendaji mkuu wa Manchester United Ed Wood nakuzungumzia hatma yake kuhusu ishu ya kuhama, kamaFellaini atahama atakuwa anahama baada ya kudumu natimu hiyo kwa miaka mitano toka pale alipojiunga nayo2013 akitokea Everton na kuichezea jumla ya michezi177 na 106 akipata nafasi ya kuanza, amefunga mabao22 na pasi za usaidizi wa magoli 6 akicheza kwa jumlaya dakika 10,446 akioneshwa kado 30 za manjano nanyekundu 3. Fellaini mwenye umri wa miaka 31 atakuwa na takribanimwezi mmoja kuamua hatma yake kama kweliamedhamiria kwenda China au vinginenvyo , kwanidirisha la usajili nchini China litafungwa mwezi Februari28 2019, hivyo hiyo ni nafasi nzuri kwake ya kukaakufikiri na kufanya maamuzi sahihi.
Nyota wa PSG Neymar atakuwa nje ya uwanja wa kwa muda wa wiki 10 akiuguza mguu wake wa kulia alioumia …
Kiungo wa Kinyarwanda anayekipiga na wekundu wa Msimbazi Simba Haruna Niyonzima amelitolea ufafanuzi suala la mchezaji mwenzake raia wa Ivory …
Nyota wa zamani wa timu za Arsenal, Barcelona na Chelsea Cesc Fabregas ameamua kuongea hadharani na kumsifia aliyekuwa kocha wa …
Mara nyingi wanaoitaja Ligi Kuu nchini England kuwa bora barani Ulaya zaidi ya Ligi nyingine ni kutokana na Ligi hiyo …
Bado dunia ya soka ipo katika hali ya kuhuzunika kuhusiana na kupotea kwa ndege iliyokuwa imbeba mshambuliaji mpya wa Cardiff …