F1 KUENDELEA WEEKEND HII HUKU VALTTERI BOTTAS AKIBAKIZWA MERCEDES MSIMU 2020
Baada ya mapumziko mbio za F1 zinaendelea weekend hii sasa ikiwa ni Belgium Grand Prix dereva Lewis Hamilton akienda na …
Baada ya mapumziko mbio za F1 zinaendelea weekend hii sasa ikiwa ni Belgium Grand Prix dereva Lewis Hamilton akienda na …
Akiwa anashiriki kwa mara ya pili mashindano ya grand slam, kinda Coco Gauff mwenye umri wa miaka 15 atakutana na …
UEFA Alhamisi ya Agosti 29 walichezesha droo ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya 2019/2020 na kupanga makundi nane yatakayojumuisha …
Jijini Monaco Ufaransa usiku wa Agosti 29 2019 ilitolewa tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya na waliokuwa wameandaa (UEFA), huku …
Kocha wa zamani wa Barcelona na timu ya Taifa ya Hispania Luis Enrique amefiwa na mwanae wa kike Xana Enrique …
Tuzo ya mchezaji bora wa Ulaya ni tuzo ambayo ilianzishwa na UEFA mwaka 2011 kwa kushirikiana na vyombo vya habari …
Kiungo wa Manchester City Kevin De Bruyne akifanya mahojiano na Sky Sports ameonekana kumkingia kifua mchezaji mwenzake wa zamani Vincent …
Mshambuliaji kinda wa Liverpool Bobby Duncan ,18, ameripotiwa kukasirishwa na kitendo cha Liverpool kumzuia kwenda kwa mkopo katika klabu ya …
Shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu duniani FIFA limeripotiwa kuwa kwa sasa linafikiria uwezekano wa kuwaondoa washika vibendera katika …
Ligi Kuu England imemtangaza mwamuzi Martin Atkinson kuwa ndio atakayechezesha mchezo wa Jumapili wa North London Derby unaozihusisha timu za …