Eden Hazard awaaga Chelsea
Baada ya ushindi wa mabao 4-1 wa Chelsea dhidi ya Arsenal katika mchezo wa fainali ya Europa League iliyochezwa katika …
Baada ya ushindi wa mabao 4-1 wa Chelsea dhidi ya Arsenal katika mchezo wa fainali ya Europa League iliyochezwa katika …
Usiku wa fainali ya Europa League ilikuwa ni usiku wa kihistoria kutokana na kukutanisha timu za Arsenal naChelsea ambazo sio tu zinatoka taifa moja bali jiji moja la London hawa ni majirani kweli kweli. Kingine cha kuvutia ni kuwa Arsenal ilikuwa na mlinda mlango wa zamani wa Chelsea Petr Czech lakini safu ya ushambuliaji ya Chelsea ilikuwa inaongozwa na mshambuliaji wa zamani wa Arsenal Oliver Giroud aliyeanza kwa kukata utepe wa magolikwa kuifungia Chelsea bao la kwanza katika ushindi wa4-1. Giroud aliyecheza Arsenal kwa miaka sita (2012-2018) baada ya kufunga goli hilo alishindwa kushangilia nakupiga magoti huku akionesha ishara ya kuomba radhi kwa kuifunga timu yake ya zamani, kilichomfanya asishangilie na ajisikie vibaya ni kutokana anaamini ameondoka Arsenal akiwa ana deni la kuipa mafanikio. “Nadaiwa na Arsenal sana ndio maana sikutaka hata …
Timu ya taifa ya Senegal inaelekea wamejipanga kumaliza ukame wa kihistoria wa kutowahi kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika maarufu …
Wakati vita ya kuwania Ubingwa wa Klabu Bingwa Ulaya itakuwa ikiendelea katika Dimba la Wanda Metropolitano Jumamosi hii,Juni Mosi, kuna …
Shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu barani Afrika (CAF) limeendelea kuhakikisha marefa na waamuzi wa mchezo wa soka wa …
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Adi Yussuf amekuwa mchezaji wa kwanza kusajiliwa na klabu ya Blackpool katika majira haya ya …
Moja ya mitihani mikubwa wanayokumbana nayo makocha na wachezaji wanapoamua kutoka katika maisha yao ya soka katika nchi zao na …
Baada ya miaka mitatu klabu ya Aston Villa imefanikiwa kupanda Ligi Kuu ya nchini England kwa msimu wa 2019/2020 kufuatia …
Kocha wa Warriors Steve Kerr siku chache nyuma ameonekana akiwa Dinner na kocha wa San Antonio Spurs Gregg Popovich huko …
Shirikisho la mchezo wa mpira wa miguu duniani (FIFA) linazidi kudhihirisha kuwa halitaki utani wala madudu katika mchezo huo, FIFA …