Verstappen ashinda Austrian GP
Dereva Max Verstappen wa timu ya Red Bull anaibuka na ushindi katika mbio za Austrian GP akifuatiwa na Charles Leclerc …
Dereva Max Verstappen wa timu ya Red Bull anaibuka na ushindi katika mbio za Austrian GP akifuatiwa na Charles Leclerc …
Mkuu wa wilaya ya Kigamboni Sara Msafiri ambaye yupo nchini Misri, jana ametembelea kambi ya Taifa Stars na kuwatia moyo …
Kiungo Mkabaji aliyekuwa katika Klabu ya Yanga Pato Ngonyani, amejiunga na Polisi Tanzania FC kwa mkataba wa mwaka mmoja.
Kiungo mshambuliaji Mohamed Samatta amejiunga na klabu ya KMC akitokea Mbeya City kwa mkataba wa miaka mitatu. Huyu ni kaka …
Klabu ya Yanga kupitia kwa mwenyekiti wa Klabu hiyo Mshindo Msolla imewatak wale wote wanaotumia nembo ya Yanga kutengeneza jezi …
Klabu ya Simba SC imemsajili beki Tairone Santos da Silva raia wa Brazil kwa mkataba wa miaka miwili. Da silva,30, …
Bek wa kulia anayecheza Klabu ya Simba Shomari Kapombe amesaini mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea Klabu hiyo. …
Uongozi wa timu ya taifa ya Misri mapema jana kabla ya mchezo na DR Congo walifikia maamuzi ya kumuondoa kikosini …
Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini imemsajili kiungo James Kotei kutoka Simba kwa mkataba wa miaka mitatu Kotei alikuwa ni mshindi …
Baada ya aliyekuwa kocha mkuu wa Klabu ya KMC Etienne Ndayiragije kuondoka na kujiunga na Klabu ya Azam, KMC imemnasa …