UNAI BADO YUPO SANA ARSENAL
Baada ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Leicester City, klabu ya Arsenal sasa imekuwa na mwanzo mbaya zaidi katika …
Baada ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya Leicester City, klabu ya Arsenal sasa imekuwa na mwanzo mbaya zaidi katika …
VAR ikileta mkanganyiko na kuendelea kukataliwa katika ligi kuu nchini England, nchini Morocco imeandikwa historia mpya, kwa nchi hiyo kuwa …
Katika mechi za usiku wa kuamkia leo za NBA, mchezaji James Harden ameshindwa kuandika ‘Triple double’ yake ya kwanza msimu …
Ligi kuu ya England EPL imeendelea Novemba 9, zikichezwa jumla ya mechi 6 Mechi ya kwanza ilikuwa ni Chelsea dhidi …
Mshambuliaji Robert Lewandoski ameendeleza rekodi yake ya ufungaji baada ya kufunga magoli mawili katika mechi ya Bayern Munich dhidi ya …
Msenegali Mbaye Diagne amepigwa faini na kuondoshwa katika kikosi cha Club Bruge ya Ubelgiji kwa kosa la kukosa penati katika …
Kamishina wa ligi ya soka ya Marekani MLS Don Garber amethibitisha mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic anayecheza katika klabu ya LA Galaxy …
Mtu mmoja mwenye umri wa miaka 30 anayefahamika kwa jina la Ashley Smith amehukumiwa miaka 10 jela kwa kosa la …
Uongozi wa timu ya KMC ya Kinondoni leo hii wamefikia maamuzi ya kumfuta kazi kocha wao Jackson Mayanja raia wa …
Kiungo wa Everton Andre Gomes, 26, aliyeumia vibaya Jumapili katika mechi dhidi ya Tottenham anatarajiwa rejea dimbani msimu huu baada …