Ramos afungiwa mechi 2 na UEFA
Beki wa Real Madrid Sergio Ramos amefungiwa mechi mbili za klabu bingwa Ulaya na UEFA kwa kosa la kutafuta kadi …
Beki wa Real Madrid Sergio Ramos amefungiwa mechi mbili za klabu bingwa Ulaya na UEFA kwa kosa la kutafuta kadi …
Kocha Claudio Ranieri amefutwa kazi katika klabu ya Fulham ikiwa imepita miezi mitatu tangu ajiunge na timu hiyo. Scott Parker …
Baada ya Barcelona kunako dakika ya 73 kuwa mbele kwa goli 3-0 jana Santiago Bernabeu katika mechi ya pili ya …
Kocha wa klabu ya Chelsea Maurizio Sarri amesema kipa Arrizabalaga kutocheza mechi ya jana dhidi ya Spurs ilikuwa ni maamuzi …
Kikosi cha Yanga Sc kimewasili jijini Mwanza tayari kwa mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Alliance FC utakaochezwa katika …
Moja kati ya mataifa makubwa ambayo yanapambania kukuza Ligi zao kwa kuleta wachezaji wenye majina ni pamoja na Ligi Kuu ya nchini Marekani (MLS) ambayo kwa miaka ya hivi karibuni imekuwa ikichukua wachezaji wenye majina na umri mkubwa kutoka Ligi mbalimbali kubwa duniani ili kuongeza mvuto katika ligi hiyo. Mara nyingi wachezaji wanaokwenda kucheza Ligi ya Marekani kutokana na kwenda wakati wakiwa na umrimkubwa huwa kwa utani Ligi hiyo inaitwa Ligi yawastaafu, hivyo baada ya kuanza kuenea tetesi za mlinda mlango wa zamani wa Manchester City anayecheza Burnley Joe Hart kuhusishwa na kwenda nchini humo. Habari za uhakika zinadaiwa kuwa mlinda mlango huyoambaye kwa misimu yahivi karibuni amekumbwa na haliya kutolewa kwa mkopo kabla ya kujiunga jumla na Burnley 2018, anataka kwenda kujiunga na klabua namoja kati ya klabu nchini Marekani ambazo hazijawekwa wazi, kwa sasa Joe Hart ana umri wa miaka31 ila amekuwa na wakati mgumu sana katika sokakutokana na kutopata nafasi ya kutulia na timu moja kwamuda mrefu kwani Manchester …
Kiungo mkabaji na nahodha msaidizi wa timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars Himid Mao Nkami anaendeleza harakati zake za …
Bodi ya waamuzi nchini England imeamua kumuondoa Mike Dean katika nafasi ya mwamuzi wa akiba wa mchezo wa Tottenham Hotspurs …
Klabu ya Wekundu wa Msimbazi Simba leo watakuwa mjini Iringa kuendeleza mbio zao za kutetea taji lao la Ligi Kuu …
Kipa wa Chelsea Kepa Arrizabalaga amepigwa faini ya mshahara wake wa wiki moja ambao ni pauni 190,000 na amewaomba msamaha …