MANE YUPO TAYARI KWA LOLOTE KUHUSU UBINGWA
Nyota wa klabu ya Liverpool Sadio Mane ameweka wazi msimamo wake kuhusu ubingwa wa ligi kuu nchini England ambao wanaufukuzia na kukaribia kuupata baada ya kuukosa ndani ya miaka 30. Kumekuwa na taarifa mbalimbali kuhusu kuendelea kwa msimu au kufutwa kutokana na uwepo wa virusi vya Corona ambavyo vimepelekea kusimama kwa ligi nyingi duniani ili …