MWAMUZI MISRI AFUNGIWA KWA KUWAPONDA EFA
Chama cha soka cha Misri (EFA) kimemsimamisha mwamuzi Saeed Hamza kwa miezi mitatu baada ya kuonekana kukikosoa chama hicho kwenye Televisheni. Hamza alionekana katika TV bila ya kutoa taarifa kwa EFA, akiwakosa EFA na kamati ya waamuzi kwa kushindwa kuwalipa pesa zao. EFA tayari wameanza kufanya uchunguzi juu ya mwamuzi huyo na jana Jumatatu walimuita …