CANADIAN GRAND PRIX ZAWA MBIO ZA 9 KUHAIRISHWA FORMULA 1
Zikiwa ndio mbio zilizotarajiwa kuanza kwa msimu huu baada ya kushindikana kuanza kwa mbio zozote tokea mwanzoni mwa mwaka kutokana na mlipuko wa virusi vya corona, mbio za Canadian Grand Prix ‘Montreal’ zilizokuwa zifanyike trehe 14 Juni nazo zimehairishwa huku waandaaji wakihaidi kutaangalia uwezekano wa kufanya mbio hizo hapo baadae mwaka huu. Formula 1 wanafaya …