Martial ajiondoa katika mitandao ya kijamii
Mshambuliaji wa timu ya Manchester United Anthony Martial ghafla ameamua kujiondoa katika mitandao ya kijamii pasipo kutajwa kwa sababu zozote za yeye kufikia maamuzi hayo. Mfaransa huyo ambaye amekuwa na miongoni mwa wachezaji wanaoisaidia timu kwa kuifungia mabao 9 msimu huu, amefuta kurasa zake za mitandao ya kijamii za twitter na instagram, kwa wale ambao …
Read more