Makambo achukua tena tuzo ligi kuu
Mshambuliaji wa Yanga SC Heritier Makambo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara kwa mwezi Disemba. Hii ni mara ya pili mfululizo Makambo anachukua tuzo hiyo
Read moreMshambuliaji wa Yanga SC Heritier Makambo ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa ligi kuu Tanzania Bara kwa mwezi Disemba. Hii ni mara ya pili mfululizo Makambo anachukua tuzo hiyo
Read moreKocha wa Yanga SC Mwinyi Zahera ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi Disemba ligi kuu Tanzania Bara, ikiwa ni mara yake ya pili mfululizo kuchukua tuzo hiyo. Hii ni mara ya 3 msimu huu wa ligi kuu Tanzania Bara kocha huyo ameshinda tuzo ya kocha bora wa mwezi.
Read moreKocha Mkuu wa Yanga Mwinyi Zahera ameamua kufanya maamuzi magumu ya kumuondoa aliyekuwa nahodha wa timu hiyo Kelvini Yondani katika nafasi hiyo na kuamua kumtangaza nahodha mpya. Kufuatia maamuzi hayo ya kocha Mwinyi Zahera Yanga sasa nahodha wao mpya atakuwa ni Ibrahim Ajib. Sababu za kocha Mwinyi Zahera kumuondoa Kelvin Yondani katika nafasi hiyo ni …
Read moreBaada ya majogoo wa Jijili Liverpool kukumbana na kipigo cha mabao 2-1 dhidi ya Manchester City katika uwanja wa Etihad, kocha wa klabu hiyo amebadilika na kuwa mbogo kutokana na kushangazwa na nahodha wa Manchester City Vincent Kompany kubaki uwanjani. Mabao ya Sergio Aguero na Leroy Sane dakika ya 40 na 72 ndio yameifufulia Manchester …
Read moreNahodha wa Manchester City Vincent Kompany bado anaamini kuwa kocha wake Pep Guardiola hatokubali kucheza kamari ya kumchezesha Kevid De Bruyne katika mchezo wa leo usiku wa Manchester City watakapoikaribisha Liverpool katika uwanja wao wa Etihad. Kevin De Bruyne aliikosa safari ya Manchester City siku ya Jumapili kwenda kuwavaa Southampton kutokana na kutokuwa fiti kwa …
Read moreKocha mkuu wa timu ya Chelsea Maurizio Sarri amenukuliwa na moja kati ya vyombo vya habari kuhusiana na usajili wa kiungo mpya wa timu hiyo Pulisic mwenye umri wa miaka 20 kusajiliwa kutoka Borussia Dortmund kwa dau la uhamisho wa pauni milioni 58. Maurizo Sarri ametoa kauli inayoeleza kuwa alikuwa hafahamu chochote kuhusu uhamisho wa …
Read moreKocha wa kipindi cha mpito wa Manchester United Ole Gunnar Solksjaer anaonekana kuendelea kuotesha mizizi ya uhusiano wake kati yake na wachezaji wa timu hiyo, Ole Gunnar Solksjaer inaonekana ameamua kweli kuwashawishi mabosi wa Manchester United wampe kazi ya kudumu. Baada ya mshambuliaji raia wa Chile Alexis Sanchez kukutana na wakati mgumu wakati wa utawala …
Read moreKocha wa Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya nchini Uingereza Pep Guardiol ambaye yupo katika mbio za kutetea taji hilo linaloonekana Liverpool amedhamiria kumaliza ukame, Guardiola ameeleza kuwa Liverpool kwa sasa wapo na presha. Kwa sasa Liverpool ndio anaongoza Ligi Kuu ya nchini Uingereza akiwa na alama jumla ya 54 katika michezo 20 akifuatiwa na …
Read moreMalaika wa Baraka wanaendelea kuishushia kheri klabu ya Manchester United toka kuondoka kwa aliyekuwa kocha wao mreno Jose Mourinho, Manchester United toka aondoke Mourinho na wapewe kocha wa mpito wamekuwa wakipata matokeo. Kikosi cha Manchester United kikiwa ugenini katika dimba la Newcastle wameendeleza wimbi la ushindi chini ya kocha wao wa muda Ole Gunnar Solskjaer …
Read moreNahodha wa za zamani wa timu ya taifa ya Kenya Dennis Oliech amejiunga na miamba wa ligi hiyo, Gor Mahia kwa kandarasi ya miaka miwili. Oliech ambaye mwisho alicheza soka mwaka wa 2015 katika milki ya kiarabu amesaini mkataba ambao utamfanya kuwa mchezaji anayelipwa pesa nyingi katika ligi ya Kenya. Mshahara wake wa mwezi mmoja …
Read more