Yahaya Zayd atimkia Misri
Mshambuliaji wa Azam FC Yahaya Zayd amepiga hatua nyingine katika maisha yake ya soka baada ya kuripotiwa kuwa amesafiri usiku wa jana kutoka jijini Dar es Salaam kwenda Misri kusaini mkataba wa kucheza soka la kulipwa. Inaripotiwa kuwa Yahaya Zayd anaenda kujiunga na timu ya Ismaily ambayo pia inashiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika …
Read more