Man City wafanya mauaji Etihad.
Magoli ya Kevin De Bruyne dakika ya 5 Gabriel Jesus Jesus dakika ya 30 34 57 65 Zinchenko dakika 37 Foden dakika ya 62 Walker dakika 70 na Riyad Mahrez dakika ya 83 yamefanya Man City kuondoka na ushindi wa goli 9-0 katika uwanja wao wa Etihad dhidi ya Burton Albion katika mchezo wa nusu …
Read more