MLIPILI AJINASIBU KUWA SIMBA YAO INA KIKOSI CHA KIPANA
Kwa mara ya pili mfululizo klabu ya Simba SC inafanikiwa kuingia hatua ya fainali ya michezo ya Mapinduzi Cup na itacheza tena na Azam FC kama ilivyokuwa mwaka jana katika mchezo wa fainali timu hizo zilikutana ila Azam FC akashinda taji hilo kwa mara ya pili kupitia bao la Himid Mao na kuufanya mchezo ukiwa …
Read more