Andy Murray aendelea kumwaga Chozi
Sura za majonzi kwa watu waliokuwa uwanjani zilitawala leo baada ya Muingereza Andy Murray kutolewa katika raundi ya kwanza ya michuano ya Australian Open 2019 na Mhispania Roberto Bautista ambaye ameshinda mchezo huo kwa seti 6-4,6-4,7-6,7-6,6-2 Majonzi haya si kwa ajili ya kutolewa kwa Muingereza huyo,31, bali yameletwa na hofu ya kutomuona mchezaji huyo akirudi …
Read more