ZAHERA KATOLEA UFAFANUZI SUALA LA TUHUMA ZA MAKAMBO KUTOWEKA
Mwalimu wa klabu ya Yanga raia wa Congo na Ufaransa Mwinyi Zahera jana aliamua kumaliza uvumi kuhusiana na madai ya mchezaji wake raia wa Congo DR Herieter Makambo kama ni kweli ametoroka kambini na kwenda kusikojulikana bila ya ruhusa maalum au kuna taarifa nyingine. Zahera ameeleza baada ya mchezo wa Yanga dhidi ya Mwadui FC …
Read more