MWINYI ZAHERA KATOA USHAURI KWA SIMBA KUELEKEA MCHEZO DHIDI YA AS VITA
Kocha wa Yanga raia wa Congo na Ufaransa Mwinyi Zahera akiwa anaelekea Shinyanga kucheza mchezo wake wa Ligi Kuu dhidi ya , alifanya mahojiano maalum na Azam TV na kuulizwa ushauri wake kuhusiana na Simba SC waliosafiri kuelekea Congo kucheza dhidi ya AS Vita Jumamosi ya Januari 19 2019. . “Simba anapaswa kucheza kwamba tunacheza …
Read more