Zlatan amkubali Harry Kane
Mshambuliaji wa timu ya LA Galaxy ya Marekani aliyewahi kutamba na vilabu mbalimbali barani Ulaya kama FC Barcelona, Inter Milan na Manchester United Zlatan Ibrahimovic ameamua kutoa neno la busara kwa nyota wa Tottenham Hotspurs Harry Kane kama kweli ana malengo ya kutwaa mataji. Zlatan ambaye ana umri wa miaka 37 amekuwa akiamini kuwa nyota …
Read more