Djokovic azama nusu fainali kilaini Australian Open 2019
Bingwa mara 6 wa Australian Open Novak Djokovic amefuzu hatua ya nusu fainali ya michuano hiyo baada ya mshindani wake katika mchezo wa robo fainali leo Mjapan Kei Nishikori kushindwa kuendelea na mchezo kufuatia kupata maumivu ya paja. Wakati Kei Nishirikori anapata maumivu hayo Novak alikuwa anaongoza kwa seti 6-1, 4-1. Kila muda …
Read more