Mchezaji anyimwa jezi namba 9 AC Milan
Timu ya AC Milan ya nchini Italia imekataa kumpa jezi namba 9 mshambuliaji wao mpya kutokea Genoa waliyomsajili kwa dau la pauni milioni 30 Krzysztof Piatek. Uongozo wa AC Milan umekataa kumpa nyota huyo jezi namba 9 kama alivyoomba na kumtaka aoneshe uwezo kwanza kabla ya kupewa jezi namba hiyo iliyofanyiwa makubwa na kina Inzaghi. …
Read more