Djokovic aweka rekodi mpya Australian Open
Novak Djokovic bingwa Australian Open 2019. 6-3,6-2,6-3 ndio ushindi ameondoka nao katika mchezo wa fainali leo dhidi ya Mhispania Rafa Nadal uliochezwa kwa muda wa saa mbili na dakika nne. Sasa Novak katika mara 7 zote ambazo amecheza fainali ya Australian Open amechukua ubingwa. Mserbia huyo ,31,anakuwa mchezaji wa kwanza wa kiume kuchukua ubingwa wa …
Read more