Emiliano Sala kuanza kutafutwa tena
Bado dunia ya soka ipo katika hali ya kuhuzunika kuhusiana na kupotea kwa ndege iliyokuwa imbeba mshambuliaji mpya wa Cardiff City Emiliano Salama pamoja na rubani wake kupotea na kutopatikana hadi leo, sintofahamu imetanda kama watu hao wapo salama au wamekufa kufuatia kutoonekana kwao. Imefika wiki sasa toka ndege ndogo binafsi aliyokuwa ameipanda Emiliano Sala …
Read more