Ndege aliyokuwa amepanda Emiliano Sala yapatikana
Baada ya nyota mbalimbali wa soka na watu mbalimbali kuchangia mchango wa kuendesha upya zoezi la kuwatafuta nyota wa Cardiff City Emiliano Sala na rubani wake Davis Ibbotson waliyokuwa wamepotea na ndege ndogo kwa zaidi ya wiki sasa wakitokea Nantes Ufaransa kurudi Cardiff Wales , jitihada zimezaa matunda za zoezi hilo la pili. Awali Mamlaka …
Read more