Hazard azidi kuwapa Presha Hazard
Nyota wa Chelsea na timu ya taifa ya Ubelgiji Eden Hazard bado anaendelea kuacha maswali yasiyokuwa na majibu kwa mashabiki kama ataendelea kuichezea Chelsea au ataondoka mwisho wa msimu, hiyo ni baada ya kuripotiwa kuwa nyota huyo amekiri tayari kufanya maamuzi. Hazard ameripotiwa kuwa tayari amefanya maamuzi juu ya hatma yake atacheza klabu gani msimu …
Read more