Hazard akataa kukubaliana na Sarri
Kocha wa Chelsea Maurizo Sarri anatamka nyota wake Eden Hazard afunge magoli mengi zaidi lakini mchezaji huyo amesema hadhani kama ataweza kufanys hivyo. Hazard tayari amefunga magoli 12 katika ligi kuu nchini England msimu huu , magoli manne nyuma ya magoli aliyofunga katika msimu wake bora akiwa na the blues, msimu wa 2016-17 akifunga magoli …
Read more