Solskjaer amshauri Anthony Martial
Mwalimu wa Manchester United wa mpito Ole Gunnar Solskjaer amemuweka nyota wa timu hiyo Anthony Martial katika level za mshambuliaji wa Juventus na timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo ambaye amewahi kuichezea timu hiyo kwa miaka kadhaa kabla kwenda Real Madrid 2009. Solskjaer ambaye alikuwa anaongea na vyombo vya habari kuelekea mchezo wao wa …
Read more