Mchezaji wa Singida atua Kenya
Mchezaji wa Singida United Athanasi Mdamu ametua kunako klabu ya Kariobangi Sharks ya Kenya kwa kusaini mkataba wa miaka mitatu wa kuitumikia Klabu hiyo baada ya makubaliano ya Timu zote mbili. Mkurugenzi mtendaji wa Klabu hiyo Festo Sanga amesema kuwa Athanas amekwenda Kenya baada ya klabu ya Kariobangi Sharks kumuona na kumpenda katika michuano mbalimbali …
Read more