Mbadala wa Ozil wapatikana Ujerumani
Wakati kukiwa na sintofahamu kuhusiana na hatma ya kiungo wa kimataifa wa Ujerumani mwenye asili ya Uturuki Mesut Ozil kuwa anaweza kuondoka katika timu ya Arsenal kwa madai ya kukosa furaha lakini anaonekana kuwa kama sio chaguo namba moja la kocha mpya wa timu hiyo Unai Emery. Zimeripotiwa taarifa mpya klabu ya Arsenal inajipanga kumleta …
Read more