Wizara ya Saudi Arabia yakanusha kuinunua Man United
Baada ya kuenea kwa taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa Prince Mohammed Bin Salman wa Saudi Arabia yupo katika mipango ya kutaka kuinunua klabu ya Manchester United ya nchini England, wizara habari ya nchi hiyo kupitia waziri wake imekanusha taarifa kuwa Prince anataka kuinunua klabu hiyo. Taarifa za Prince Mohammed Bin Salma kutaka kuhusishwa kuinunua …
Read more