Mayanja apewa kazi nzito Uganda
Kimya cha mwaka mmoja katika kazi ya ukocha kwa aliyekuwa kocha msaidizi wa klabu ya Simba raia wa Uganda Jackson Mayanja ameripotiwa kupewa mtihani wa kukinoa kikosi ch a Kyetume FC cha Uganda kwa kandarasi ya muda mfupi akiungana na kocha Allan Kabonge. Jackson Mayanja ambaye ana leseni ya ukocha wa daraja A kutoka shirikisho …
Read more