Yanga wanazitaka Pointi 3 kwa Alliance
Kikosi cha Yanga Sc kimewasili jijini Mwanza tayari kwa mchezo ujao wa Ligi Kuu dhidi ya Alliance FC utakaochezwa katika Uwanja wa CCM Kirumba Jumamosi hii Machi 2 Msemaji wa Klabu hiyo Dismas Ten amesema kuwa wachezaji 20 na viongozi 8 tayari wameisha wasili Jijini mwanza kwaajili ya mchezo huo. Ten amesema kuwa mchezo huo …
Read more