Sanamu ya Beckham yazinduliwa Marekani
Timu ya LA Galaxy ya nchini Marekani leo imezindua rasmi sanamu ya mchezaji wao wa zamani David Beckham ambaye amekuwa ni mchezaji wa kwanza katika historia ya ligi ya soka ya Marekani (MLS) kujengewa sanamu. Sanamu hiyo imejengwa kwenye mlango mkuu wa kuingilia uwanja wa timu hiyo David Beckham aliichezea LA Galaxy kwa miaka sita, …
Read more