Man U hakuna cha afadhali
Timu ya Manchester United inakumbana na wakati mgumu katika mchezo wake wa marudiano wa klabu Bingwa Ulaya hatua ya 16 bora dhidi ya klabu ya Paris Saint Germain ya nchini Ufaransa, Manchester United wanakabiliana na mitihani miwili katika mchezo huo. Mtihani wa kwanza wanaokabiliana nao Manchester United katika mchezo huo ni mtihani wa kuhitaji kupindua …
Read more