Dismas Ten ajibu kuhusu Ndemla kwenda Yanga
Kwa zaidi ya wiki sasa kuwa kama kuna maneno ya chini kwa chini kupitia mtandao wa kijamii wa instagram kutoka kwa afisa habari wa Simba Haji Manara kwenda kwa afisa habari wa Yanga Dismas Ten kuhusiana na kiungo wa timu ya Simba SC Said Ndemla. Dismas Ten amekuwa akipost picha za Ndemla kwa masihara kama …
Read more