Pep Guardiola kumfuata Cristiano Ronaldo Juventus
Hii inawezekana ikawa habari ya kushitua zaidi kutokana na kuwa haikuwa imeanza na tetesi na uvumi wa muda mrefu kama ambavyo, hutokea baadhi ya habari za usajili wa wachezaji na makocha kutoka klabu moja na kwenda nyingine, kuna mpya imeripotiwa kwa uzito na kituo kimoja cha redio kuwa kocha wa sasa wa Manchester City Pep …
Read more