Azam na Singida waipa heshima Simba
Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara kati ya Azam FC na Singida United uliopangwa kuchezwa machi 16 (jumamosi) katika Uwanja wa Azam Complex sasa kuchezwa kesho Ijumaa Machi 15. Jaffar Iddi Maganga ambae ni Afisa habari wa Klabu ya Azam FC amesema kuwa kutokana na Bodi ya ligi kuwapa sababu ya mchezo huo kurudishwa nyuma …
Read more