Simba SC ndio habari ya mjini
Historia imeandikwa katika uwanja wa Taifa Dar es salaam jana Machi 16, Simba wamefanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali ligi ya mabingwa Afrika baada ya ushindi wa 2-1 dhidi ya AS Vita ya Congo. Magoli ya Mohamed Hussein Tshabalala na lile la ushindi la Clatous Chama dakika ya 90 yamewapelekea Simba hatua hiyo wakishika nafasi …
Read more