Mchezaji wa Marekani aipaisha Tanzania
Futi 19,341 kutoka usawa wa bahari ndio urefu wa mlima mrefu zaidi barani Afrika, mlima huo ambao ni kivutio kikubwa kwa watu mbalimbali duniani unapatikana mkoani Kilimanjaro katika nchi ya Tanzania, unaitwa mlima Kilimanjaro. Machi 18,mwaka huu nyota wa wa mabingwa wa Super Bowl 2017 Philadelphia Eagles ,Haloti Ngata alikuwa juu ya kilele cha mlima …
Read more