Solskjaer apata kazi rasmi Old Trafford
Disemba 19 2018 mshambuliaji wa zamani wa Man United Ole Gunnar Solskjaer alitangazwa kuwa kocha wa muda wa timu hiyo akichukua nafasi ya Mreno Jose Mourinho ambaye alitumuliwa kwa muendelezo wa matokeo mabaya. Tangu aichukue timu hiyo Solkjaer ameiongoza katika mechi 19, akishinda mechi 14,sare 2 na kupoteza mechi 3, huku akiipeleka timu hiyo robo …
Read more