Onyango aitetea Uganda kwa kipigo cha Taifa Stars
Mlinda mlango namba moja wa timu ya taifa ya Uganda The Cranes Denis Onyango kwa mara ya kwanza ameongea kufuatia tuhuma dhidi ya timu yao ya taifa baada ya kupoteza kwa mabao 3-0 dhidi ya Tanzania katika mchezo wao wa mwisho wa kuwania kufuzu kucheza mataifa ya Afrika 2019 nchini Misri. Onyango akihojiwa na Super …
Read more