KMC watuma salamu kwa Simba, wasema kiporo kimeshachacha
Kuelekea mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara ambao ni kiporo utakaowakutanisha KMC na Simba SC kesho April 25 saa 10.00 jioni katika Uwanja wa CCM,msemaji wake Anwar Binde amesema kuwa kiporo hicho tayari kimeshachacha na hakiliki kwa Simba. Msemaji huyo amesema kuwa kikosi hicho cha wachezaji 20 tayari kipo jijini Mwanza kwa ajili ya kukabiliana …
Read more