Kinda wa Tanzania asajiliwa Arsenal
Nyota kinda ambaye ni zao pia la timu ya taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys iliyoshiriki fainali za mataifa ya Afrika kwa vijana nchini Gabon 2017, Yohana Mkomola amefanikiwa kusaini dili huko barani Ulaya. Yohana Mkomola ambaye amewahi kuichezea Yanga pia baaadae African Lyon amefanikiwa kusaini …
Read more