Msimlishe Zizou maneno kuhusu Pogba
Ligi Kuu mbalimbali barani Ulaya zikielekea kumalizika huku tetesi za usajili zikiendelea kutamba kuhusiana na wachezaji mbalimbali kuhusishwa kuwa mbioni kuvihama vilabu vyao na kwenda kwingi, suala la kiungo wa Manchester United Paul Pogba kuhusishwa na Real Madrid ni kubwa zaidi. . Paul Pogba ambaye amewahi kutoa kauli inayoashiria kuwavutia Real Madrid kuongeza nguvu ya …
Read more