Berbatov awakataa Tottenham, moyo wake upo Manchester
Nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Bulgaria na vilabu vya Tottenham Hotspurs na Manchester United vya England Dimitar Berbatov (38) ameonesha kuwa pamoja na kuwa amewahi kuvichezea vilabu vyote vya Tottenham na Manchester United lakini yeye anaipenda zaidi Manchester United. Berbatov ameeleza kuwa kama anapewa nafasi ya kurudi uwanjani kucheza na akapewa nafasi …
Read more