Ajax watoa ubingwa wao kwa mchezaji wao aliyeacha soka baada ya kuumia Ubongo
Baada ya miaka miwili toka kiungo wa Ajax Abdelhak Nouri (22)alazimike kustaafu mchezo wa soka baada ya kupata majeraha kwenye ubongo, klabu ya Ajax imeuelekeza ubingwa wao wa Ligi Kuu nchini Uholanzi kwa Abdelhak kama heshima kwa kijana huyo ambaye amesitisha maisha ya soka. . Ajax ambao timu yao imejaa damu changa imefikia maamuzi hayo …
Read more