Timu ya Samatta yapata pigo
Kiu ya miaka nane ya klabu ya KRC Genk kutotwaa taji la Ligi Kuu ya nchini Ubelgiji ilimalizika kwa msimu huu wa 2018/2019 kufanikiwa kutwaa taji hilo kwa kuibwaga Club Brugge ambao walikuwa wakiwapa changamoto kwa muda mrefu. KRC Genk wataingia msimu ujao kwa kuanza kutetea taji hilo pasipo uwepo wa kocha wao mkuu Philippe …
Read more