Wenger na Mourinho wakutanishwa meza moja
Wakati vita ya kuwania Ubingwa wa Klabu Bingwa Ulaya itakuwa ikiendelea katika Dimba la Wanda Metropolitano Jumamosi hii,Juni Mosi, kuna vita nyingine itakuwa inafanyika nje ya uwanja. Ni vita ya mafahari wawili, Jose Mourinho na Arsene Wenger ambao kwa mara ya kwanza watakuwa pamoja wakichambua mechi katika studio za beIN SPORTS. Makocha hao ambao wote …
Read more