Azam FC yamchukua kocha wa KMC
Aliyekuwa Kocha mkuu wa Klabu ya KMC ya Jijini Dar es Salaam Etienne Ndayiragije ametangazwa kuwa kocha mpya wa Azam FC kwa mkataba wa miaka miwili. Kocha huyo kutoka Burundi,amejiunga na Azam FC mara baada ya kutokufikia makubaliano ya kusaini mkataba wa kuendelea na Klabu ya KMC
Read more