Rais wa UEFA apelekwa mahabusu
Rais wa zamani wa UEFA Mfaransa Michel Platini amekamatwa na kuwekwa chini ya ulinzi kwa kesi ya kuhusiana na kuipa Qatar nafasi ya uenyeji wa kombe la Dunia mwaka 2022. Platini,63, alichaguliwa kwenye kiti hicho cha Urais mwaka 2007 na kutumikia mpaka mwaka 2015 ambapo alifungiwa na kamati ya nidhamu ya FIFA kwa mlolongo wa …
Read more